Manchester United vs Rangers Results
Klabu ya Manchester United imeendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu Uingereza maarufu kama EPL na mashindano ya Europa. Leo hii imecheza mchezo wa kirafiki na Rangers na kuondoka na ushindi wa mabao mawili yaliyofungwa na Amad Diallo na Joe Hugill