Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi za Umma
Sekretariti ya Ajira na Utumishi wa Umma imetoa orodha ya Majina ya waliopata kazi katika taasisi za umma.
Maelezo zaidi utayapata baada ya kupakua PDF kupitia kiunganishi hapo chini. Pindi upatapo tangazo hili usisite kutuma kwa wengine ili nao wapate taarifa.
Kwa sababu kufanya hivo haikupunguzii kitu bali Mungu anaendelea kukubariki.
Tangazo la kuitwa kazini: DOWNLOAD PDF
Tangazo la kuitwa kwenye Usaili: DOWNLOAD PDF