Ajari Yaua 90

 90 Wathibtishwa Kufariki kwa Ajari

Watu tisini (90) wamethibitishwa kuaga dunia kutokana na ajari ya ndege nchini Korea Kusini.

Kuanzia katikati mwa mwezi Desemba ajari zinazosababisha vifo na ulemavu kwa wengi zimeongezeka sana.

you

Tukiwa tumebakiza siku 2 kuweza kuumaliza mwaka 2024 na kuuanza mwaka mpya wa 2025 jitahidi sana kujiweka karibu na Mungu na kufuata misingi yote ya dini yako na kujiepusha na safari zisizo za lazima.

Nasema ufuate misingi yote ya dini yako ili ikuepushe na mambo yanayoweza kuyaweka maisha yako hatarini. Mfano wa mambo hayo ni ulevi, kugombana, uzinzi, wizi nk. 

*

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post