NEC Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Uchaguzi

Walioitwa Kwenye Usaili Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) imetoa orodha mpya ya majina ya Walioitwa kuhudhuria usaili katika Halmashauri ya Wilaya ya Mfinanga.

Hivi sasa tunajiandaa kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali kuu mwishoni mwa  mwaka ujao kama tulivyoshuhudia uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji uliofanyika Novemba 27,2024.

Hivyo, ili kuhakikisha Tume Huru ya Uchaguzi inatekeleza majukumu yake kikamilifu ndani ya muda elekezi imeamua kuendeleza mikakati yake ya kuongeza nguvu kazi kwa ajili ya kutekeza majuku yake ipasavyo.


Kuweza kupata orodha kamili ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Tume Huru ya Uchaguzi wilaya ya Mfinanga pakua pdf hapo chini kwa kubofya neno Download 

Download PDF 

*

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post