Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024
Orodha ya majina ya kuitwa au Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024. Hivyo, Afisa Mwandikishaji Jimbo la Tarime Mjini anapenda kuwatangazia waombaji wote wa kazi ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kuwa usaili utafanyika tarehe 19/08/2024 katika ukumbi wa Tarime sekondari kuanzia saa kuanzia saa 2:00 asubuhi.Mambo ya kuzingatia:- Usaili utafanyika tarehe 19 Agosti 2024 katika ukumbi wa Tarime sekondari kuanzia saa 2:00 asubuhi
- Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambulizi
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na kitambulisho cha NIDA, kitambulisho cha mpiga kura, kitambulisho cha mkazi, hati ya kusafiria, leseni ya udereva au barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa/kijiji.
- Kila msailiwa atajigharamia usafiri na chakula na malazi.
- Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali palipopangwa kufanyia usaili.
- Kila msaili aje na kalamu ya rangi ya blue/nyesi kwa ajili ya kuandikia.
- Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.
Location Download PDF
Rorya district | Download PDF
Butiama District | Download PDF
Temeke | Download PDF
Mwanza | Download PDF
Babati Town | Download PDF
Babati District | Download PDF
Shinyanga | Download PDF
Bukoba | Download PDF
Masala | Download PDF
Sengerema | Download PDF
Misungwi | Download PDF
Nzega Village | Download PDF
Bukene | Download Pdf
Urambo | Download Pdf
Katavi | Download Pdf
Jimbo la Bukene | Download Pdf
Kasulu Village | Download Pdf