Simba Wamechafua Hali ya Hewa

 Wazee wa Ubaya Ubwela Wamechafua Hali ya Hewa

Zinaelekea kuisha wiki mbili klabu ya Simba SC Tanzania iko Misri Kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao ikiwa ni pamoja na kupima mashine mpya zilizotua klabuni hivi karibuni. 


Simba pia wako kwenye masndalizi ya siku yao muhimu sana ya utambulisho wa kikosi chao cha msimu unaokuja, Simba Day itakayofanyika tarehe 3 Agosti, 2024.
Katika kujipima na kukiweka kikosi kiushindani, jana Julai 22 imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya El Qannah Egypt inayoshiriki ligi daraja la pili Nchini Misri na Simba kuibuka na ushindi wa 3-0 mabao ya Jean ahua 14' na 16' na Okejepha 120'.
Mchezo huu umechafua Hali ya Hewa mitaani na mitandaoni pia Kwa kuwa klabu ya Simba imecheza na klabu ambayo inashika nafasi ya mwisho pia ni daraja la pili Nchini Misri wakati ikijiandaa kukabiriana na kina Wydad Casablanca.
UBAYA UBWELA
Kinachoongeza Hali kuchafuka zaidi ni mchezo wa watani wao dhidi ya klabu ya Augsburg ya Ujerumani. 
Trending: Alichokisema Haji Manara Baada ya kifungo kuisha

Nini maoni yako

*

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post