Fidia atakayoilipa Magoma Kwa Yanga
Magoma ameshindwa kesi yake dhidi ya klabu ya Yanga.
Mzee Magoma aliyekuwa ameshinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga na mahakama ya AhkiMu Mkazi Kisutu kutoa hukumu ya kuutaka uongozi wote wa Yanga ung'atuke Kwa sababu upo kinyume na Katiba ya Yanga. Wadhamini na Mwanasheria wa Yanga waliitaka mahakama hiyo kupitia upya kesi hiyo.
Hulumu ya kesi imetoka leo hii na kulipa ushindi klabu ya Yanga na uongozi wake na kumfanya mzee Magoma aliyetrend Kwa kipindi kifupi kushindwa.
Mahakama imemuamuru Mzee Magoma kuilipa fidia klabu ya Yanga Kwa kulipa gharama zote ambazo Yanga imetumia ? Athalani kwenye kesi hii.